NEWS

25 Februari 2018

JPM Apongeza Kigango cha Chato kuwa Parokia

Rais Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli leo tarehe 25 Februari, 2018 ameungana na waumini wa Parokia ya Mlimani iliyopo Chato Mkoani Geita kusali Ibada ya Jumapili ya Dominika ya 2 ya Kwaresma.

The post JPM Apongeza Kigango cha Chato kuwa Parokia appeared first on Global Publishers.