NEWS

21 Februari 2018

LIVE: ST LOUIS 0 VS 0 YANGA KUTOKA SHELISHELI

Dk 26 Kessy anamuangusha kiungo wa St Louis, si mbalis ana karibu na lango lao
Dk 24 Martin anaachia mkwaju mkali unawababatiza walinzi wa St Louis unatoka na kuwa wa kurushwa
Dk 19, St Louis wanapata kona ya kwanza baada ya kufanya shambulizi kali. Inachongwa hapa lakini Tshishimbi anaokoa hapa
Dk 17, Yanga inapata kona nyingine baada ya krosi safi ya Ajibu. Ajibu huyohuyo anachonga kona safi kabisa lakini offside

Dk 13, kona inachongwa lakini haina manufaa hata kidogo
Dk 13, Yanga wanafanya shambulizi kali na kupata kona ya pili

Dakika ya 15: Yanga wanatawala mchezo. Mashabiki siyo wengi uwanjani.

Dakika ya 9: Yanga wanafanya shambulizi, Tshishimbi anapiga krosi inaokolewa.

Dakika ya 6: Ibrahim Ajibu anapiga kona inaokolewa.

Dakika ya 5: Yanga wanafanya shambulizi kali, inakuwa kona.

Dakika ya 1: Kasi ni ndogo.

Mchezo umeanza.

Mchezo wa Klabu Bingwa Afrika, mechi ya kwanza Yanga ilishinda goli 1-0 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Timu zinaingia uwanjani.

The post LIVE: ST LOUIS 0 VS 0 YANGA KUTOKA SHELISHELI appeared first on Global Publishers.