NEWS

25 Februari 2018

LIVE UPDATES: MAJIMAJI 0-1 YANGA KUTOKA MAJIMAJI STADIUM, KOMBE LA SHIRIKISHO

39′ Marcel anapiga kona mbovu ambayo inaokolewa na beki ya Yanga

19′ Faulo inapihwa na Ajibu kuelekea Majimaji, kushoto wa Uwanja, anapiga lakini kipa anaipangua na kuwa kona

15′ Bonaventure analisakama lango la Yanga lakini mwamuzi wa pembeni anasema ni offside

14′ Majimaji wanafanya shambulio lakini umahiri wa Youthe Rostand anadaka mpira

13′ Faulo inapigwa tena kuelekea Majimaji baada ya faulo

9′ Ibrahim Ajibu anafanya kazi safi kwa kupiga krosi langoni mwa Majimaji lakini mabeki wanaokoa

6′ Hassan Kessy anachezewa mazambi, na faulo inachezwa tena kuelekea Majimaji FC

5′ Buswita anachezewa faulo, mpira unapigwa kuelekea lango la Majimaji

The post LIVE UPDATES: MAJIMAJI 0-1 YANGA KUTOKA MAJIMAJI STADIUM, KOMBE LA SHIRIKISHO appeared first on Global Publishers.