NEWS

25 Februari 2018

‘USIKU WA MIC TATA’ WAWACHENGUA MASHABIKI DAR LIVE

 Kikundi cha Wakali Poteza kikifanya yao katika Tamasha la Mic Tata  lililofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani Dar Live, Mbagala-Zakhem,  jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa shindano la Black and White Party wakiwa stejini katika ukumbi wa Taifa wa Burudani Dar Live.

Mmoja wa wasanii wa singeli akiwapagawisha mashabiki.

Ma DJ kutoka Uhuru FM ambao ndiyo wadhamini wa tamasha hilo,  wakiwa kazini.

Msanii wa Bongo Fleva, Elias Barnaba, akikamua katika steji ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.

Msanii wa Hip Hop, Joh Makini,  akiwapagawisha mashabiki .

Wacheza shoo wa Man Fongo wakifanya yao.

The post ‘USIKU WA MIC TATA’ WAWACHENGUA MASHABIKI DAR LIVE appeared first on Global Publishers.