Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Paul Makonda amedai watumishi wengi wa chini ni mizingo ndio maana serikali inaonekana haifanyi kazi. Mkuu huyo aliyasema hayo Ijumaa hii wakati akipokea makontena ya samani za ofisi za walimu jijini Dar es salaam.
VIDEO