Msanii wa bongo fleva nchini Kalama Masoud maarufu kama Kala Pina ambae aliwahi kuwa mwanchama wa CUF na kugombea udiwani kata ya Kinondoni na pia aligombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia ACT Wazalendo mwaka 2015 leo amejiunga na chama tawala cha CCM