Wafuasi 3 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliojeruhiwa kwa risasi wakati Polisi wakitawanya waandamanaji Kinondoni wafikishwa Mahakamani
Makada hao ni Aida Olomi, Issack lomanus Ngaga na Erick John waliokuwa wakishikiliwa katika kituo cha Polisi Oyster bay
Wafuasi hao wa CHADEMA walijeruhiwa siku moja na aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa(NIT), Akwilina Akwilin ambaye aliuawa katika tukio hilo
The post Wafuasi 3 wa Chadema waliojeruhiwa Kwa Risasi Wafikishwa Mahakamani appeared first on Global Publishers.