CHAMA cha CCM kimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha dada wa Rais John Magufuli, Monica Joseph Magufuli, aliyefariki dunia jana asubuhi tarehe 19 Agosti, 2018 katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa matibabu.