NEWS

26 Agosti 2018

Kifesi 'Diamond Umekuwa Sio Mfano Mzuri Kwa Vijana Kwa Kumwita Mtoto wake Side Kid'

Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond Platnumz (Kifesi) atoa ushauri kwa msanii huyo kuhusu kumuita side kid mtoto aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto anayejulikana kwa jina la Dylan.