NEWS

20 Agosti 2018

Maktaba Inayovutia Zaidi Duniani, Ina Vitabu Zaidi ya Milioni Moja

MAKTABA inayovutia zaidi duniani ni ile ya kituo cha Utamaduni cha Binhai eneo la Tianjin,  China, ambayo iko katika eneo la mita za mraba 34,000 na ikiwa na zaidi ya vitabu milioni 1.2.

Kituo hicho ambacho ni cha ghorofa tano, lazima huzua swali kwa wanaokiona: Je, shubaka zake zote zinazoonekana kutoka nje zimejaa vitabu kama jicho linavyoona?

Ukweli ni kwamba, shubaka hizo, nyingi zaidi, zina vitabu feki (si vya kweli), isipokuwa vitabu halisi vimo ndani ya jengo lenyewe.  Lakini, yote kwa yote, mkataba hiyo inavutia zaidi kuliko zote duniani katika jicho la anayaiona.

The post Maktaba Inayovutia Zaidi Duniani, Ina Vitabu Zaidi ya Milioni Moja appeared first on Global Publishers.