NEWS

26 Agosti 2018

Rais Magufuli atembelea shamba la mboga la Marehemu Dada yake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekagua bustani za mbogamboga mbalimbali zilizokuwa zikilimwa na Marehemu Dada yake Monica Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita.