1.Ualimu 2.Askari magereza 3.Fundi ujenzi 4.Kondakta/utingo 5.Mgambo Ila ukisema unafanya kazi maeneo haya, utakubaliwa asubuhi na mapema 1.Migodini 2.Siasa 3.Ikulu 4.Bandarini 5.Viwanja vya ndege 6.Bank 7.Mahospitalini. 6.Ubalozini.