NEWS

15 Agosti 2018

Wasanii 5 Kutoka Tanzania Watajwa Afrima 2018

Harmonize.

Wasanii wa Tanzania wameshindwa kufanya vizuri safari hii kwenye tuzo za Afrima 2018.

Wasanii waliochaguliwa ni staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz Diamond, Raynanny pamoja na Harmonize wote wapo katika kipengele cha Best Male Artiste in Eastern Africa.

Kwa upande wa wasanii wa kike, Maua Sama amechaguliwa kipengele cha Best Female Artiste in Eastern Africa.

Alikiba na Vanessa Mdee ni kati ya wasanii ambao wamekuwa wakitajwa mara kwa mara lakini mwaka huu wameshindwa kufurukuta kabisa.

AFRIMA nominees for Best Female Artiste in Central Africa.

The post Wasanii 5 Kutoka Tanzania Watajwa Afrima 2018 appeared first on Global Publishers.