NEWS

15 Oktoba 2018

JPM Akutana na Wakimbiza Mwenge 2018 Ikulu

RAIS John Magufuli (mbele katikati) akipokea taarifa kutoka kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu. Jenista Mhagama (walio kulia kwa rais) walioongozana na wakimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka huu wa 2018 alipofanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 15, 2018.

…Akiwa nao katika picha ya pamoja baada ya mkutano huo.
PICHA NA IKULU

The post JPM Akutana na Wakimbiza Mwenge 2018 Ikulu appeared first on Global Publishers.