Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa tamko kwa umma, vyombo vya habari na jamii kwa ujumla kuwa halijaufungulia wimbo wa ‘Mwanza’, ulioimbwa na msanii wa WCB, Rayvanny kwa kushirikiana na DiamondPlatnumz.