Msanii mkongwe wa muziki,Ferooz, anakuribisha kutazama video ya wimbo wake mpya uitwao Mapigo. Audio ya ngoma hiyo imefanywa na Producer Mocco na video imeongozwa na Kilonzo. Itazame hapa.