NEWS

1 Desemba 2018

Kings Music Chini Ya Alikiba Wameileta Video Mpya ‘Toto’

Label ya Kings Music iliyopo chini ya Alikiba ambayo inajumuisha wasanii kama, Abdukiba, Cheed, Killy na K-2GA wameileata video ya wimbo wao mpya, ‘Toto’

 

Video imeongozwa na Kevin Bosco JNR toka Above The Rim Production.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

The post Kings Music Chini Ya Alikiba Wameileta Video Mpya ‘Toto’ appeared first on Global Publishers.