Ile shoo ya kufunga mwaka iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ndio imewadia leo Desemba 29, ambapo Mfalme wa Bongo Fleva, King Kiba, anakiwasha katika ukumbi wa Next Door Masaki.
Alikiba hatakuwa pekeyake bali atasindikizwa na Mwana Fa, Billnass, Barnaba, Mr Blue, The Mafik pamoja na kundi lake la Kings Music.
The post LIVE: ALIKIBA AKIPAFOMU MUDA HUU / FUNGA MWAKA NA KIBA – VIDEO appeared first on Global Publishers.