Moja kati ya ngoma zinazopendwa sana kwa sasa kutoka kwa Mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba, ni ngoma yake mpya ya ‘KADOGO‘, ambayo ameipafomu laivu kwenye usiku wake wa Kufunga Mwaka uliofanyika Desemba 29, katika ukumbi wa Next Door Masaki.
The post SHANGWE la ALIKIBA Akipafomu KADOGO, Utaipenda! – VIDEO appeared first on Global Publishers.