NEWS

19 Desemba 2018

UTACHEKA! Kutana na Bibi Msela, Chalii wa Arusha, Mjanja Kuliko Wote – Video

Kutana na Bibi maarufu katika jiji la Arusha mwenye misemo yote ya vijana wa Arusha. Bibi huyu ni mfanyabiashara ya ndizi anaefahamika kwa jina maarufu kama Chalii wa AR na Muda wote huwa anatabasamu usoni mwake hasa anapowahudumia wateja wake.

Amekuwa maarufu kwa miaka mingi katika eneo analofanyia biashara, mcheshi na ni mtu wa utani pia ni rafiki wa kila anaemuona usoni mwake. Anaizungumza misemo yote ya kijanja na kisela unayoifahamu.

VIDEO: MSIKIE HAPA CHALII WA AR

The post UTACHEKA! Kutana na Bibi Msela, Chalii wa Arusha, Mjanja Kuliko Wote – Video appeared first on Global Publishers.