NEWS

2 Januari 2019

Chemical: Nikipima Naolewa – Video

RAPA wa kike Bongo, mwenye swaga za kiume Chemical, amefunguka mbele ya Global TV kuhusu moja ya caption yake aliyowahi kuandika kwenye ukurasa wake wa instagram kwamba atajioa sababu kutendwa katika mapenzi.

SASA AMETOA KAULI HII KUHUSU KUOLEWA

The post Chemical: Nikipima Naolewa – Video appeared first on Global Publishers.