Mwanamitindo na Msanii wa Bongo Fleva chipukizi, Hamisa Mobeto, kwa Mara ya kwanza amepafomu stejini ngoma zake mbili Madam Hero na Tunaendana, ikiwa ni miezi michache tangu aanze rasmi kuimba.
Mobeto amefanya shoo hiyo usiku wa Januari 01, katika tamasha la Masauti Luxury lililofanyika katika ukumbi wa Life Park Mwenge jijini Dar.
Mbali na Mobeto, wasanii wengine waliopafomu katika tamasha hilo ni pamoja na Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’, mkongwe wa muziki wa dansi, Christian Bella ‘Obama,’ Aslay Isihaka, Hellen George ‘Ruby’ na Beka.
The post FULL VIDEO: MOBETO Afanya shoo kwa mara ya kwanza, Utapenda! – VIDEO appeared first on Global Publishers.