NEWS

1 Januari 2019

Harmonize aamua kufuata nyendo za Diamond, abadili staili ya nywele zake

Harmonize aamua kufuata nyendo za Diamond, abadili staili ya nywele zake
Msanii wa muziki wa BongoFleva Harmonize ameamua kubadili staili ya nywele zake na badala yake kusuka kama Diamond Platnumz.


Kupitia Insta stori yake Harmonize,huku akiwa Kenya kwa ajili ya tamasha la Wasafi Festival, ametuonesha staili mpya ya nywele zake huku zikiendelea kuwekwa rangi vile vile.


Lakini pia Mpenzi wake Sarah amepost picha wakiwa wote na Harmonize akionekana na muonekano mpya wa nywele.