Shangwe, vifijo, nderemo zilisheheni miji mbalimbali watu wakisherehekea kuanza kwa Mwaka Mpya wa 2019 katika majiji mbalimbali duniani, fataki nazo zikatanda angani.
Fataki hapa zinaonekana London Eye ambapo zilirushwa angani kwa dakika 10 hivi katikati mwa
"Yellow Vest", waandamanaji wanaovalia fulana za rangi ya manjano nchini Ufaransa walikuwa miongoni mwa waliokuwa wanaandamana karibu na Champs-Elysees jijini Paris
Hapa, fataki zinaonekana juu ya sanamu ya Quadriga katika lango maarufu la Brandenburg Gate, Berlin
Wanandoa hawa nao wanaonekana wakikoleza upendo wao kama sehemu ya sherehe za kuulaki