NEWS

1 Januari 2019

VIDEO: Bint wa Bill Gates Kuolewa na Muislam Mwendesha Farasi

Bint wa Bill Gates (tajiri namba moja duniani kwa miaka kadhaa) anategemea kufunga ndoa na kijana wa Kimisri (wanaotujengea Steigler Gorge).

Bint ame fall kwa kijana handsome wa Kiislam, Kiafrika, Kiarabu, haoni hasikii na wameshatambulishana kwa wazazi wao.


Uislam unaruhusu mwanamme wa Kiislam kuoa Mkristo na Myahudi lakini hauruhusu bint wa Kiislam kuolewa na wa dini nyingine yoyote.

VIDEO: