NEWS

2 Januari 2019

Video: Christian Bella, Mobeto Wapiga shoo Masauti Luxury Dar

Usiku wa kuamkia leo kumefanyika shoo kubwa ya aina yake ya kuufungua mwaka 2019 iliyopewa jina la Masauti Luxury  imefanyika  katika Viwanja vya Life Club Mwenge jijini Dar es Salaam. Wasanii waliofanya shoo ni mwanadada ‘lejendari’ kwenye muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’, mkongwe wa muziki wa dansi, Christian Bella ‘Obama,’ Aslay Isihaka, Hellen George ‘Ruby’ na Beka.

The post Video: Christian Bella, Mobeto Wapiga shoo Masauti Luxury Dar appeared first on Global Publishers.