
Darnell Brim alikamatwa na madawa ya kulevya mwaka 2013, sasa amekiri kosa kuhukumiwa kifungo hicho.
Darnell Brim ni miongoni mwa watu wanne waliokuwa katika gari nyeupe aina ya Cadillac ambayo iliichapa risasi gari ya Suge Knight na kumuaa Tupac Shakur 1996 lakini polisi walishindwa kuthibitisha.
The post MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA 2PAC ATUPWA JELA MIAKA 10 appeared first on Global Publishers.