NEWS

29 Aprili 2019

Rais MAGUFULI Akutana na Prof MWANDOSYA Uso kwa Uso

 

Rais Dr.John Pombe Magufuli amezindua barabara katika eneo la Busokole yenye urefu wa Kilomita 10 ambapo pamoja na mambo mengine amekutana na Waziri wa zamani wa Ujenzi, Profesa Mark Mwandosya ambaye ni muasisi wa ujenzi wa barabara hiyo.

The post Rais MAGUFULI Akutana na Prof MWANDOSYA Uso kwa Uso appeared first on Global Publishers.