Rais John Magufuli asubuhi ya leo Jumanne, Mei 21, 2019 ametembelea Makao Makuu ya TTCL na kupokea gawio kwa mara ya pili mfululizo. Gawio hilo linatajwa kuwa ni kubwa zaidi ikilinganishwa na mwaka jana.
Tupo LIVE kupitia Chaneli yetu ya YouTube Global TV Online na Global App.
The post LIVE: Rais MAGUFULI Akipokea GAWIO Kutoka TTCL appeared first on Global Publishers.