Basi la kampuni ya Hood lenye namba T 779 AVL lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea Mbeya limepata ajali leo Jumapili, Agosti 4, 2019 katika kijiji cha Uchira wilayani Moshi. Ajali hiyo imetokea majira ya saa 1:30 asubuhi na abiria wote wako salama.
The post Basi la Hood lapata Ajali Uchira Moshi leo appeared first on Global Publishers.