NEWS

4 Agosti 2019

RAIS MAGUFULI NA MKEWE WASHIRIKI MISA TAKATIFU PAROKIA YA OYSTERBAY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Agosti 04,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Agosti

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakati wa Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam katika Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule leo Jumapili Agosti 04,2019.

Rais  Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Simon Sirro nje ya kanisa Katoliki mara baada ya Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaamleo Jumapili Agosti 04, 2019.

Rais wa Magufuli akisaliana na muumini na mtoto wake mara baada ya Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam leo Jumapili Agosti 04, 2019. 

Rais Magufuli akimnunulia muumini Rosari baada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 18 ya Mwaka “C” katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Agosti4, 2019.

The post RAIS MAGUFULI NA MKEWE WASHIRIKI MISA TAKATIFU PAROKIA YA OYSTERBAY appeared first on Global Publishers.