NEWS

1 Oktoba 2019

Mpishi Akamatwa kwa Kuchanganya Bangi Kwenye Chakula

NCHINI Italia mpishi mmoja anaejulikana kama Carmelo Chiaramonte amekamatwa na polisi kwa kuchanganya bangi kwenye chakula ili apate viungo vipya kwenye chakula.

 

Mipishi huyo anaeyeshiriki kwenye kipindi cha mapishi kwenye televisheni amekutwa  na mimea miliwi mikubwa ya bangi ambayo alikua akichanganya kwenye chakula ili apate viungo vipya kwenye mapishi pia alikutwa na mvinyo uliochanganywa na bangi,matunda ya mzaituni, kahawa, na samaki.

Mpishi huyo kwa sasa ameachiwa huru huku kesi yake ikisubiriwa kuwasilishwa tena ushaidi utakapokamilika, moja ya kipindi chake kiliitwa ‘ ‘upishi uliokosa nidhamu’ alikua akionesha mapishi ya kiasili mazao vyakula vya kutia hamu ya tendo la ndoa.

The post Mpishi Akamatwa kwa Kuchanganya Bangi Kwenye Chakula appeared first on Global Publishers.