Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba amesema hana ugomvi na Diamond Platnumz ila hawezi kushiriki kwenye tamasha lake kwa sababu na yeye anatafuta mafanikio.
The post VIDEO: ALIKIBA afunguka “DIAMOND NILISHAMWAMBIA, Sifanyi SHOO Yake appeared first on Global Publishers.