NEWS

19 Novemba 2019

Zamaradi kaongea Mumewe kutoa bastola hadharani “Ni bwege tu”


Leo November 19, 2019 Mtangazaji Zamaradi Mketema amejibu haya baada ya kuulizwa kuhusu Sakata la Mume wake kuonesha bastola hadharani.

“Yeye Mwenyewe angeweza kuiongelea zaidi, Watu wengine ndio watoe maoni, mimi nikitoa nitaonekana najipendelea, kitu kinachonitokea kwangu mara nyingi hata matatizo yakitokea watu wanauliza mbona sipost” Zamaradi

“Sasa tatizo ni langu mimi, je nijipe pole?, nawaachia Watu uwanja wao sababu hata mimi naongeleaga vya Watu naacha Watu waongee wanavyojisikia” Zamaradi