Imeripotiwa na mtandao wa inyarwanda.com kuwa kiungo wa Yanga SC na timu ya taifa ya Rwanda Haruna Niyonzima ameoa mke wa pili akiwa jijini Dar es Salaam.
Niyonzima na Cassandra Rayan wamefunga ndoa ya kimyakimya jijini Dar es Salaam huku baadhi ya watu wakidai kuwa inawezekana hilo limefanyika sababu ya corona.