NEWS

31 Mei 2020

Lema "Tume ya Uchaguzi Imetunga Kanuni Tuna Wakati Mgumu Kuliko Ule wa Wakoloni"


Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, amesema Tume ya Uchaguzi imetunga kanuni wakala wa kura sasa kupewa fomu ya matokeo ni hiari yao.

“Tuzuie uhuni unao endelea kuua utawala bora. Kuna gharama kubwa tuna weza kulipa ikiwemo vifo au kufungwa,” aliandika Lema.

Lema aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter alisema wana wakati mgumu kuliko ule wa wakoloni.

“Haki itashinda lakini ni lazima tusimame tuhesabiwe,”, aliandika Lema.