NEWS

31 Mei 2020

Mauaji ya Mmarekani Mweusi..Ushahidi wa VIDEO Hautoshi Kumtia Mshukiwa Hatiani....


Meya wa St.Paul,Minnesota Melvin Carter pamoja na rais wa Minneapolis (NAACP) Leslie Redmond wamesema ushahidi wa video kwa kesi inayomkabili polisi anayedaiwa kumuua mmarekani mweusi George Floyd ni mwanzo mzuri lakini hautoshi kumtia hatiani.

Maandamano yamekesha katika miji tofauti na huenda yakazidi kuwa makubwa jumamosi hii.