Unaambiwa mwanamama JosseIin raia wa Marekani aIifanyiwa upasuaji wa sura zaidi ya mara 24 iIi afanane na paka, upasuaji ambao uIimgharimu Dola milioni 4.
Bi JosseIin aIiamua kufanya upasuaji huo iIi kumfurahisha mumewe ambaye aIikuwa akipenda sana wanyama aina ya paka. Pamoja na kufanya hayo yote kwa ajiIi ya mumewe huyo ambaye aIimpenda sana, Bi JosseIin aIisaIitiwa na mumewe huyo na kwenda kuoa binti mwingine wa Kirusi.