NEWS

14 Septemba 2020

Gwajima 'Sisi Sio Waganga NJAA Kawe, Tumeshajaza Makapu Yetu Tunataka Tutoe Kilichondani ya Makapu Kwa Wananchi'



"Sisi kwenye Ubunge hatukuja kuganga njaa, tumekuja kuwatumikia Wananchi, tulishajaza makapu yetu tunataka tutoe kilichondani ya makapu pamoja na cha CCM tuwape Wananchi ili wawe na maisha mapya, tuone furaha tena Kawe" - Ameyasema Hayo Askofu Gwajima kwenye uzinduzi Kampeni leo