NEWS

3 Septemba 2020

Jeshi La Polisi Lawakamata Waliochoma Ofisi Za Chadema Arusha

Jeshi  la Polisi Mkoa wa Arusha nchini Tanzania, limewakamata watu watatu wakituhumiwa kuchoma moto ofisi za chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema, Kanda ya Kaskazini.