NEWS

6 Septemba 2020

PICHA: Mgombea Urais Wa CCM Dr Magufuli Azungumza Na Wananchi Wa Nyashimo Busega

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyamikoma Busega mkoani Simiyu katika mikutano yake ya Kampeni za Urais wakati akielekea Mkoani Mwanza.