JAMBO LETU LIMETIKI: Katibu Wa NEC, Siasa na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole Leo Jumamosi Oktoba 31, 2020 ametoa Tamko la CCM kuhusu Uchaguzi Mkuu na Kupata nafasi ya Kuwashukuru Watanzania kwa Ushindi wa Kishindo walioutoa kwa CCM na Kueleza mambo mengine mbalimbali. Kwenye Mkutano huo na Waandishi wa Habari, Haya ndiyo Aliyoyazungumza Ndugu Polepole.
#VitendoVinaSauti.