NEWS

13 Novemba 2020

Tumefanikiwa Kupunguza Umaskini wa Kipato Hadi Kufikia Asilimia 26.4%-JPM



"Tumefanikiwa kupunguza umaskini wa kipato hadi kufikia asilimia 26.4% kwa takwimu za mwaka 2017- 2018 mafanikio haya bila shaka ndio yamewezesha nchi yetu kutangazwa kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati kutoka katika kundi la nchi masikini" Rais Dkt John MAGUFULI.