Aliyekuwa Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuputia Cjadema, Tundu Lissu ambaye alikamatwa na Polisi saa 12 jioni Umoja House, ameachiwa bila masharti baada ya mahojiano na Polisi. Ameachiwa yeye na aliokuwaameambatana nao.