NA. AFRICANDADAZ BLOG
Maradhi ya kichawi ni maradhi yanayo daiwa kusababishwa na wachawi. Yani wachawi wanamroga mtu au wanamtupia mtu mapepo halafu hayo mapepo yanamfanya mtu huyo kupatwa na maradhI ya kipepo.
Inasemwa kwamba maradhi yanayo pendelewa na wachawi ni pamoja na ukichaa ( kuwehuka), kifafa, ugumba na utasa, kiharusi , vidonda ndugu visivyo pona, nakadhalika na dalili kuu ya maradhi ya kichawi ni kwamba mhusika anakuwa anatumia dawa lakini haponi ugonjwa ukizidi kushika kasi na akienda kupimwa hospitalini ugonjwa unakuwa hauonekani.
Kila siku tunashuhudia shuhuda mbalimbali kwenye nyumba za ibada watu wakitoa shuhuda kwamba walikuwa wamefungwa na kuteswa kwa muda mrefu sana na wachawi kupitia maradhi mbalimbali ya kichawi na sasa wamefunguliwa.
Swali la kujiuliza ni JE NI KWELI MARADHI YA KICHAWI YANA EXIST ? Kupata majibu ya maswali haya, BOFYA hapa chini :
https://africandadaz.blogspot.com/2019/02/ushuhuda-nilimlisha-mume-wa-mtu.html