NEWS

3 Aprili 2021

PICHA: Rais Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Dar es Salaam

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 3, 2021 amepokelewa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dar es salaam , Wakati akiwasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere akitokea Dodoma