Picha za Behind the scenes za video mpya ya Meninah kwa wimbo wake Shaghala Baghala. Video inafanywa na kampuni ya The Dream Videoz.