NEWS

11 Januari 2014

New Music: Lady Jay Dee- Historia

Lady Jay Dee aka Binti Commando/ Anaconda ameachia wimbo mpya unaoitwa Historia, wenye ujumbe wa kijamii unaohamasisha watu kujituma ili kuhakikisha kuwa hawabaki kuwa ‘Historia’ kabla siku haijafika, isiwe 'alikuwa nazo' ni bora kuwa 'anazo'.



“Utakubalije uwe historia kabla siku yako haijafika?” Anaimba Lady Jay Dee.

Usikilize hapa Chini;