NEWS

11 Januari 2014

Wema Sepetu na Diamond wamerudi tena? Tazama Video hii

Mwanadada mwenye mafaniko makubwa katika entertainment indusry ya Bongo Wema Sepetu amepost hii video kwenye page yake ya Instagram na kuandika, “In da middle of his writing session…jus had to distrub him a little”. Je inakupa picha au idea gani juu ya hili video ..



Oh yeah..jibu ni kwamba inaweza ikawa wamerudiana tena au ndio akuna ukweli woote ..tazama video hapo chini kwa kujfahamu nini amabacho kinaendela kati ya mastaa hawa wawili.