NEWS

11 Januari 2014

Mwanamke Ajifungua Watoto Mapacha Ndani Ya Miaka Miwili Tofauti

Mama huyu kajifungua watoto mapacha miaka miwili tofauti , wakati kurwa anatoka duniani Dec 31 mida ya saa 11:58 doto alitoka duniani Jan.1,2014 saa 12:1

Mapacha hao waliozaliwa miaka miwili tofauti wana majina ya Lorraine Yaleni Begazo akiwa kazaliwa mwaka 2013 wakati Brandon Ferdinando Begazo alitezaliwa mwaka 2014

Wazazi wa watoto hao Warren Begazo na Yaleni Santos Tohalino wameelezea Mtandao wa ABCNEWS.COM Furaha yao kwa watoto wao hao ambao wameweka historia huku wakiwa ni uazao wao wa kwanza


Tukio hilo limejitokeza pia Huko Toronto Ambapo linafanana kabisa na hili ambapo watoto mapacha wakike wamezaliwa katika miaka tofauti ya 2013 na 2014 wakipishana dakika chache lakini kwemye miaka tofauti

pacha wa kwanza aliyetajwa kwa jina la Gabriela Salgueiro alitoka Dec. 31, 2013, 11:52 huku wa pili Sophia Salgueiroakitoka akitoka 1, 2014, saa 12:00:38